IQNA – Maelfu ya waumini walikusanyika katika Msikiti wa Kati huko Glasgow, Scotland, kwa sala maalum kuadhimisha Idul Adha.
Habari ID: 3480805 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/08
IQNA – Maelfu ya wafanyaziara na wakazi wa Karbala walikusanyika kwa wingi kushiriki Swala ya Iddi ul Adha iliyoswaliwa Jumamosi katika eneo la Bain-ul-Haramain.
Habari ID: 3480802 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/07
IQNA – Wapalestina kote Ukanda wa Gaza wameswali Swala ya Idul Adha juu ya magofu ya misikiti iliyoharibiwa na vita vya kinyama vya utawala wa Israel dhidi ya eneo hilo.
Habari ID: 3480799 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/07
IQNA – Akiwatakia heri ya Idul Adha Waislamu kote duniani, Khatibu wa Swala ya Idi iliyosaliwa leo Tehran ameielezea Idihii tukufu kuwa ni sikukuu ya umoja wa Ummah wa Kiislamu, na maadhimisho ya ibada na kujisalimisha kwa Mola.
Habari ID: 3480797 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/06
IQNA – Idul al-Adha ni miongoni mwa sikukuu tukufu zaidi katika kalenda ya Kiislamu, yenye mizizi katika tukio la kiroho lenye uzito mkubwa lililotajwa ndani ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3480796 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/06
IQNA-Kwa mujibu wa taarifa, mnamo Ijumaa, Juni 6, Waislamu wa Marekani wanapanga kuadhimisha mwanzo wa sikukuu hii inayohitimisha ibada ya Hija kwa kuswali pamoja na kusherehekea katika maeneo mbalimbali nchini humo.
Habari ID: 3480761 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/30
IQNA-Idul Adha inatarajiwa kuangukia tarehe 6 Juni mwaka huu, kulingana na Kituo cha Kimataifa cha Astronomia. Kituo hicho
Habari ID: 3480743 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/26
IQNA- Sheria mpya imetangaza Idul Adha na Idul Fitr kuwa sikukuu rasmi katika jimbo la Washington nchini Marekani.
Habari ID: 3480522 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/11
Hija 1445
IQNA-Zaidi ya Waislamu milioni 2 wamewasili Saudi Arabia kutekeleza ibada ya Hija mjini Makka mwaka huu huku nchi za Kiislamu pia zikitangaza tarehe ambazo zitaadhimisha siku kuu ya Idul Adha katika mwaka wa 1445 Hijria Qamari (2024 Miladia).
Habari ID: 3478960 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/11
Sikukuu ya Idul Adha
TEHRAN (IQNA) - Waislamu katika mji mkuu wa Canada, Ottawa, wamekuwa wamekusanyika kusherehekea Idul Adha ana kwa ana mwaka huu – haya yakiwa ni mabadiliko makubwa baada ya miaka miwili ya vikwazo vya COVID-19.
Habari ID: 3475488 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/11
Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamejiunga na wenzaoi duniani leo kuadhimisha sikukuu ya Idul Adha sambamba na Mahujaji wanaokamilisha ibada ya Hija katika mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3475485 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/10
Idi
TEHRAN (IQNA)- Mwaka huu kulijitokeza hitilafu katika baadhi ya nchi za Kiarabu na Kiislamu kuhusu siku kuu ya Idul Fitr lakini inaelekea kuwa kutakuwa na hitilafu katika kuanisha siku kuu ya Idul Adha.
Habari ID: 3475433 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/27
TEHRAN (IQNA)- Sherehe za Idul Adha zimefanyika kote duniani ambapo katika baadhi ya nchi zimefanyika Jumanne na maeneo mengine jumatano.
Habari ID: 3474118 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/22
TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya waumini Wapalestina waslihisiri katika Sala ya Idul Adha iliyosaliwa katika Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem) baada ya hujuma za siku kadhaa za Wazayuni dhidi ya Msikiti huo.
Habari ID: 3474117 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/22
TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu maalumu kwa viongozi wa nchi za Kiislamu kuwatakia kheri na baraka kwa mnasaba wa kuadhimisha Sikukuu ya Mfunguo Tatu ya Idul-Adhha.
Habari ID: 3474116 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/21
TEHRAN (IQNA) – Mwaka huu janga la corona au COVIDI-19 limepelekea ibada Hija iwe tafauti na pia sherehe za Idul Adha kote duniani zimetafuatiana na miaka iliyopita. Hatua za kupunguza idadi ya mahujaji na kuweka vizingiti katika sherehe za Idi zimechukuliwa ili kuzuia kuenea ugonjwa wa corona.
Habari ID: 3473027 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/03
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: Tiba ya vikwazo ni kuutumia ipasavyo uwezo na fursa za ndani, na si kusalimu amri mbele ya matakwa ya Marekani.
Habari ID: 3473020 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/31
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika ujumbe wa Idi
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mkono na kheri na fanaka na kuwapongeza viongozi wa nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa Sikukuu hii kubwa ya Idul Adh'ha.
Habari ID: 3473016 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/31
TEHRAN (IQNA) – Mufti Mkuu wa Ghana amesema inajuzu kwa Waislamu nchini humo kuswali Swala ya Idul Adha nyumbani.
Habari ID: 3472998 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/25
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Misri imetangaza kuwa swala ya Idul Adha nchini humo itaswalia katika msikiti mmoja tu.
Habari ID: 3472994 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/24